“Kila aliye na kiu hamalizi kiu kwa kuona maji bali kwa kunywa maji. Vivyo hivyo kujua kitu bila kukiweka kwenye matendo hakutabadilisha hali yako”
HEKIMA ZA NDOA 5
“Ni mwanandoa mpumbavu pekee anayesubiri aombwe msamaha ili asamehe; Maana waweza kukuta kile unachoona kama kosa, mwenzako anaweza asikione hivyo, kwa kutosamehe ufa huo unaweza