CHAKULA CHA WASHINDI

imani

Ni Kitabu Kitakachokuwa Kikitoka Kila Mwezi, Kitakuwa Na Somo La Siku Husika Lililojaa UFUNUO Mkubwa Wa Neno La Mungu.
Ni Kitabu Kitakachokuwa Kinaongelea MADA MOJA TU KWA MWEZI [A Single Topic Per Whole Month]. Mfano Kama Ni IMANI, Kinachimbua Kuhusu Imani Kwa Maandiko, Shuhuda Na Namna Ya Kuitumia Imani Kila Siku, Ukiri Wako Na Mistari Ya Siku Kuhusu MADA HUSIKA Kwa Siku!
CHAKULA CHA WASHINDI Kitakuwa Na Kurasa 31, Yaani SIKU YA KWANZA MPAKA YA 31, Na Kimekusudiwa Kukupa NGUVU YA KUSOMA NENO, UKIRI, KUINUA TUMAINI NA IMANI YAKO Na KUWA NA UHAKIKA NA MUNGU KWA MUDA WAKO WOTE!!!
Natamani Kianze Kutoka Mwezi Machi, 2014 Maana Tayari NIMESHAANDIKA [Soft Copy] Bado Kukichapa; Kikiwa Ni Maalumu Kwa Ajili Ya IMANI TU.
Halafu Kifuatiwe Na KANUNI ZA UCHUMI NA FEDHA ZA KIBIBLIA, Kwa Mwezi Unaofuata, Halafu MADA NYINGINE Kila Mwezi!
NINAHITAJI PESA YA KUANZIA KUCHAPA HICHO CHA KWANZA Halafu Nitaendelea Kutokea Hapo Bila Shaka.
Nilitamani Watu Wenye Shauku Ya KUKIPATA Mshirikiane Nami KIUSHAURI Juu Ya Namna Ya Kuweza Kukifanya Kije Mikononi Mwenu!
NIKIPATA WATU KADHAA AMBAO WANA UCHUNGU NA KAZI YA INJILI, NAAMINI KWA SIKU ZILIZOBAKI, KITAELEWEKA NA NITAKUWA NIMEKICHAPA!

NB: Usiache Kutuma Sadaka Yako Kwa Ajili Ya Huduma Ya Injili Pasaka Mkoani Tabora, Tutakuwa Na Timu Ya Wainjilisti 50, Na Itakuwa Kwa Siku 6, Tunahitaji Sana SADAKA YAKO, TABORA KWA YESU.
Tuma Kwa Mhazini, Eng Martha Shitindi [M-PESA: 0754 711 519]

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

NDOA

Haikuanzishwa Na WANADAMU Bali MUNGU Ndiye Aliyeanzisha TAASISI HII… Imeanzishwa Na MUNGU Ambaye Ni Roho, Uwe Na Uhakika Haiwezi Kuendeshwa Kwa Kutegemea AKILI, HEKIMA NA

Read More »

KWA WAOAJI TU

“Ni Hekima Ya Mungu Kumpa Mwanadamu MALIGHAFI [Raw Materials] Ili Yeye [Mwanadamu] Afanye Sehemu Yake KUZIFANYA KUWA BIDHAA HALISI [Products]… Mungu Anakupa MTI Na Ni

Read More »