DAR ES SALAAM (MSAADA UMEKUJIA)!

Dar es Salam, Tanzanie : carte
Kama uko Dar, au una ndugu au rafiki au jamaa aliyeko Dar ANAYEHITAJI MSAADA WA KIROHO kama vile;
1. Anataka kuokoka (Warumi 10:9-10, Mathayo 1:21).

2. Anateswa na nguvu za giza na anataka kuwa huru (hata kama ameombewa weeee bila mafanikio, Yesu Kristo atakuweka huru kupitia nguvu yake itendayo kazi ndani yangu; Luka 4:18-19, Efeso 3:20)!
3. Ana ugonjwa usio na tiba kwa wanadamu kama vile; Kansa, kisukari, Shinikizo la damu (BP), vidonda vya tumbo, asthma, pneumonia, HIV, na yote ambayo hayana tiba kibinadamu (Yesu anaponya kila ugonjwa; Luka 9:1-2).
4. Wale wenye vimbe, vidonda visivyopona, matatizo ya masikio (hata kama ni uziwi), matatizo ya macho (hata kama ni upofu), Utasa, matatizo ya uzazi kwa wanaume (Low sperm count), kifafa, kupoteza fahamu, matatizo ya moyo, matatizo ya mapafu, matatizo ya figo, kukojoa kitandani, kuchanganyikiwa (mental disorder) na kila changamoto ambayo unaona imekuchosha unataka kuwa huru (Yesu ni Fundi wa kushughulika na Kila mzigo; Mathayo 11:28)!
5. Wanaoteseka na VIFUNGO VYA TABIA kama vile Ulevi (alcoholism), uvutaji bangi, uvutaji sigara na matumizi ya madawa ya kulevya (drug addicts), WATUMWA WA KINGONO (tamaa mbaya, Uzinzi, uasherati, punyeto, picha na video chafu kwenye mitandao), wote hawa Yesu Kristo atawaweka huru (Haya ni mambo ya kawaida kwa Yesu Kristo; Luka 4:18-19)!
6. Kama umepata ajali na ukavunjika au unatumia NECK COLAR (kishikilia shingo) au LUMBER CLOSET (kishikilia nyonga) kwa ajili ya kukusaidia kusimama na kutembea, au unatumia MAGONGO kwa sababu mifupa au mishipa na misuli vimeumizwa, NJOO KWA IMANI maana YESU NI MFINYANZI HATA HAYA ANAYAFANYA (Luka 1:37, Yeremia 32:27)!
7. Ushauri na hekima za Kiungu kuhusu huduma, mahusiano, uchumi, na kila eneo la maisha, (Zaburi 32:8, Mithali 15:22, Mithali 24:6)!
KUMBUKA NI YESU KRISTO PEKEE AYATENDAYE HAYA, Mimi Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila ni mtumishi wake tu anayetumiwa naye kwa Sababu AMENIPA NEEMA HII (Yohana 14:12, Marko 16:17-20)!
Hivyo UTUKUFU, HESHIMA NA ADHAMA NI VYA BWANA YESU PEKEE.
Niko Mwenge karibu na KKKT Mwenge, ukifika maeneo hayo, utanipata na Mungu wetu katika Kristo Yesu atayagusa maisha yako!

ZIADA;
Kama uko KAHAMA AU SHINYANGA nenda NYAHANGA KIVULINI karibu na Kahama FM, kila siku kuanzia saa 10:00 jioni utamkuta mtumishi wa Mungu, Deogratius Raphael Ng’wala Son ambaye atakusaidia ANA KWA ANA!
Mawasiliano yangu ni;
0655 466 675
0753 466 675

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

HEKIMA ZA NDOA 3

  “Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

WAZEE WA MKEKA/KUBETI MPOO!!

  USHUHUDA: AFUNGULIWA TOKA TABIA SUGU YA KUCHEZA KAMARI, MAARUFU KAMA KU-BET AU KUTANDIKA MIKEKA! Ngoja nikupe mchongo wa kukutoa jumla kwenye huu MSALA. Huu

Read More »