Fikicha akili

“Ukiwa kazini fanya kazi usiogope watu watakuchukuliaje cha muhimu iwe kazi halali, na hivyo ndivyo walivyo wapiga picha wengi wanachojali ni picha itokee vizuri wala hawaangaiki na watu wanatawaonaje namna wanavyoipiga hiyo picha”

#Fikicha Akili#
JIFUNZE KUJIFUNZA
Mwl Makwaya
Kuwa Ni Kufanya.
Njia rahisi ya watu “kukuita Freemason” ni kufanya vitu KIPEKEE, KITOFAUTI, NA ISIVYOZOELEKA… Hapo utakuwa umejiunga Freemason bila kujua -Mwl DCK
Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram
Mafundisho
yesunibwana

SIFA ZA MME BORA

  1. Yeye mwenyewe AMEMPOKEA YESU, NA KUJITIA CHINI YA MAMLAKA YAKE KAMA BWANA NA MWOKOZI WAKE KIBINAFSI (Yohana 1:12-13, Yohana 3:16-18). -Atambue thamani ya

Read More »