“Kila mtu ALIYEOKOKA halafu ANALISOMA NENO na pia ni MWOMBAJI, hawezi KUFELI KWENYE MAISHA, anaweza ASIMSIKIE MUNGU KWA SAUTI KUUUUBWA lakini NDANI YAKE ANAWEKEWA MAWAZO NA MUNGU YA NINI CHA KUFANYA ILI KUTOKA LEVEL MOJA HADI NYINGINE… Binafsi, 90% YA NILICHOFANYA HADI SASA NI KWA NJIA YA MAWAZO ANAYONIPA MUNGU wakati wa maombi au baada, wakati wa kusoma au kusikiliza Neno, vitabu vya watumishi wa Mungu, wakati wa utulivu na hata nikiwa kwenye kusanyiko au kelele… 10% pekee ndio Mungu kasema nami kwa NDOTO NA MAONO NA SAUTI KUBWA… MAWAZO YA MTU ALIYEGEUZWA NAFSI YAKE NA KUFANYWA UPYA NI KIWANDA CHA KUPITISHIA MAWAZO MEMA NA YA AMANI ALIYONAYO MUNGU KWA AJILI YETU…”
KILA MWANANDOA MTARAJIWA NA MWANANDOA TAYARI.
Jikumbushe haya kuhusu ndoa: 1. Ndoa ni agano la milele mpaka kifo (ajiandae kwa hilo kiakili, kiufahamu, kihisia na kiroho)! Ukikurupuka kama fashion au kufikiri