HEKIMA YA LEO [03-04-2017]

  • ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO (1)
    1. Tambua kuwa unapaswa kuwekeza Maisha
  • Tumepewa nafasi ya kuishi ili tuwekeze au tuitumie vizuri. Ni nafasi ambayo huja mara moja tu, ikiondoka hairudi tena.
  • Muda wa kuishi si muda wa kuchezea, ni muda wa kuwekeza mahali panapostahili kwa ajili ya Mungu na kwa ajili ya watu.
  • Maisha yetu yanapaswa kuleta faida na si hasara. Tunapaswa kufurahiwa na si kujutiwa.
  • Maisha ni fursa, ni nafasi ya upendeleo, hatupaswi kuichukulia kiwepesi tu.
  • Tumekuja duniani na hazina za kutosha ndani yetu, tunapaswa kuzitumia ili kuzalisha na kuleta manufaa duniani.
    WEKEZA MAISHA

 

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

NDOA

Haikuanzishwa Na WANADAMU Bali MUNGU Ndiye Aliyeanzisha TAASISI HII… Imeanzishwa Na MUNGU Ambaye Ni Roho, Uwe Na Uhakika Haiwezi Kuendeshwa Kwa Kutegemea AKILI, HEKIMA NA

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 3

  “Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko

Read More »