“Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko wa watu wawili wanaotakiana mema, ambapo KILA MMOJA ANAISHI KWA AJILI YA MAFANIKIO NA USTAWI WA MWENZAKE NA SI KWA AJILI YAKE TU. Ukioa au kuoa huku moyoni unajua na umeamua kuishi kwa ajili ya KUMUINUA NA KUMSIMAMISHA MWENZAKO, hautajutia wala kuona machungu ya ndoa wanayopata wengine…”
(Mhubiri 4:9-10)
KILA MWANANDOA MTARAJIWA NA MWANANDOA TAYARI.
Jikumbushe haya kuhusu ndoa: 1. Ndoa ni agano la milele mpaka kifo (ajiandae kwa hilo kiakili, kiufahamu, kihisia na kiroho)! Ukikurupuka kama fashion au kufikiri