Hili Ni Tatizo

tenda maagizo ya mungu

Wakristo Wanamngoja Bwana Atende Muujiza Wakati Mungu Anawangoja Walitii Neno Lake, Kisha Walichukue Na Kutengeneza Miujiza Yao Wanayohitaji.
“Kama Mvua Ishukavyo Toka Mbinguni, Na Hairudi Kule Bali Huinywesha Nchi Na Kuichipusha Ili Kumpa Mbegu Mpanzi Na Mkate Mlaji. Ndivyo Lilivyo NENO LANGU Litokalo KATIKA KINYWA CHANGU; Halitanirudia Bure Bali Litayatimiza MAPENZI YANGU Na KUfanikiwa Katika Lile Nililolituma KUTENDA”
(Isaya 55:10-11 Tafsiri Ya The Gideons, KJV)
Lichukue Neno La Mungu Linalohusiana Na Changamoto Yako Na Utengeneze Muujiza Wako Maana Una 100% Backup Ya Mungu Kulifanya Halisi… Anapolitimiza Neno Lake, Anaufanya Halisi Muujiza Wako!

Mafundisho
yesunibwana

WAZEE WA MKEKA/KUBETI MPOO!!

  USHUHUDA: AFUNGULIWA TOKA TABIA SUGU YA KUCHEZA KAMARI, MAARUFU KAMA KU-BET AU KUTANDIKA MIKEKA! Ngoja nikupe mchongo wa kukutoa jumla kwenye huu MSALA. Huu

Read More »

usioe kwa sababu

“Usioe kwa sababu unawaka tamaa, hivyo unaoa ili usiendelee kutenda dhambi nje. Dawa ya tamaa si kuoa. Dawa ya tamaa ni kukubali kuwa tamaa inakutesa,

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

KWA WAOLEWAJI TU

“Kati Ya Mambo Unayopaswa Kuyachunguza Kuhusu Mtu Anayetarajia Kukuoa NI UAMINIFU NA UADILIFU Kwenye MALI NA PESA YA UMMA, KAMPUNI Au WATU WENGINE… Ukiona Huyu

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

SIFA ZA MME BORA

  1. Yeye mwenyewe AMEMPOKEA YESU, NA KUJITIA CHINI YA MAMLAKA YAKE KAMA BWANA NA MWOKOZI WAKE KIBINAFSI (Yohana 1:12-13, Yohana 3:16-18). -Atambue thamani ya

Read More »