Kanuni muhimu..

Kati ya KANUNI muhimu za MAISHA YA IMANI ni kukubali kuwa kama MTOTO MDOGO. Tofauti na hapo UTAZIKOSA BARAKA, FAIDA NA UPENDELEO unaotoka kwenye UFALME WA MUNGU- BABA YETU. Mtoto mdogo huwa haumizi kichwa kujiuliza ATAKULA, KUNYWA AU KUVAA NINI…Anajua siku zote ya kuwa yote hayo yako NDANI YA UWEZO WA BABA YAKE.
TUSIPOMWAMINI NA KUMTEGEMEA MUNGU kama WATOTO WADOGO, na kuweka pembeni MASHAKA, MAHANGAIKO NA HEKIMA ZA KIBINADAMU [zilizo sawa na ripoti ya milango mitano ya fahamu] TUTAISHIA KUSOMA KWENYE BIBLIA NA KUSIKIA KWA WENGINE KUHUSU UAMINIFU NA WEMA WA MUNGU KWETU KAMA BABA!
“Nafsi yangu imemtegemea BWANA bila wasiwasi” (Zaburi 26:1c)!

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

USIOE KWA SABABU :2

  “Wenzako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu

Read More »

NDOA

“Haiunganishi familia mbili bali inazalisha familia mpya ya tatu… Inayojiendesha, kujitawala, kujiamulia na kujichagulia mambo yake… Familia hii mpya ya tatu inakuwa na kusudi na

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

KWA WAOLEWAJI TU

“Kati Ya Mambo Unayopaswa Kuyachunguza Kuhusu Mtu Anayetarajia Kukuoa NI UAMINIFU NA UADILIFU Kwenye MALI NA PESA YA UMMA, KAMPUNI Au WATU WENGINE… Ukiona Huyu

Read More »