“Njia ya pili ya kutoa baraka ulizobeba NDANI YAKO kudhihirika NJE KWENYE DUNIA YAKO ni kwa KUSEMA UNACHOONA NDANI YAKO bila kujali mazingira yakoje. MANENO NI NISHATI YA KIROHO isiyoonekana lakini YENYE MATOKEO YASIYOPINGIKA. Mungu AMETUUMBA KWA SURA NA MFANO WAKE, na ametuweka duniani TUFANYE KAMA YEYE; Tufanye vitu vitokee kwa SAUTI YA MANENO YETU! Mungu anasubiri TUONGEE KILE ALICHOWEKA NDANI YETU KWA IMANI halafu Yeye (Mungu) ATAYAUMBA KWENYE UHALISIA”
(Isaya 57:19, Hesabu 14:28, Mithali 18:20-21).
Mafundisho
KUUSHINDA UDANGANYIFU WA SHETANI KWA KWELI YA KRISTO NDANI YETU
(Soma vizuri sana ujumbe huu,utapata KWELI ya Kristo YESU ndani yako) 1.UDANGAYIFU (HILA ZA SHETANI) KUPITIA TEKNOLOJIA na MAMBO YA DUNIA HII. Na hapa Inahusisha