“Hakuna Kitu Kama KUJIKOPESHA PESA YA MUNGU Wakati Unapokuwa Na Uhitaji Wa Pesa, Kama Mungu Hawezi Kutimiza Mahitaji Yako Ni Bora Ufe Au Upate Aibu Katika UAMINIFU Kuliko Kunyoosha Mkono KUGUSA NA KUTUMIA Kilichowekwa Wakfu Kwa BWANA”
Ukivuka Mtihani Huu:
“NA MUNGU WANGU ATAKUJAZA KILA UNACHOKIHITAJI KWA KADRI YA UTAJIRI WAKE KATIKA UTUKUFU KATIKA KRISTO YESU” (Wafilipi 4:19).
#HEKIMA2
Mwl D.C.K
NDOA
Haikuanzishwa Na WANADAMU Bali MUNGU Ndiye Aliyeanzisha TAASISI HII… Imeanzishwa Na MUNGU Ambaye Ni Roho, Uwe Na Uhakika Haiwezi Kuendeshwa Kwa Kutegemea AKILI, HEKIMA NA