Kuna mashahidi 3 wanaoyajua vema maisha yako ya Kiroho. Nao ni Wewe,Mungu na Shetani.Wewe unajua vema uko upande gani, moyo wako ni shahidi mwaminifu.Mungu anajua kama uko kwake ama la. Shetani pia anajua kama wewe ni mshirika/mwanae au la. #HUYO NDO WEWE#
KWA WAOAJI TU
“Ukimuona Mwanamke Ambaye AMEKAMILIKA TAYARI [Product] Ujue Kuna Mwanaume Mwingine Ambaye AMEINGIA GHARAMA Kumfanya AHAME TOKA KWENYE MALIGHAFI [Raw Material] Mpaka Kuwa Vile Alivyo… UKIONA