
“Usijaribu Kufanya Jambo Lolote Hapa Duniani Ambalo HUNA MWANGA Juu Yake… Yaani Huna Uhakika [Ufahamu, Maarifa, Ujuzi Na Uelewa Wa Kutosha] Kuhusu Hilo… Hata Kabla Ya MUNGU Kuumba VITU VINGINE Alihakikisha Kwamba ANAUMBA NURU [Plan, Strategy, Process, Ideas, Imagination] Halafu Ndipo Akaanza KUYASEMA YASIYOKUWEPO KANA KWAMBA YAMEKUWEPO…. Hii Ndiyo Kanuni Ya Maisha… Hakikisha Una NURU YA KUTOSHA Kuhusu Jambo Kabla Ya Kuchukua UAMUZI KUFANYA CHOCHOTE… Inawezekana Ni Jambo Ambalo HAKUNA MTU AMEWAHI KUFANYA NA HAKUNA NURU KWA JIRANI; Bado NENO LA MUNGU NI NURU LITAKUPA CHA KUFANYA NA KATIKA HILO… Ukishakuwa Na NURU, Basi UMBA MENGINE YOTE UNAYOYATAKA…. Mungu Akasema, ‘NA IWE NURU….AKAONA YAKUWA NURU NI NJEMA’… ‘NAYO NURU YANG’AA GIZANI WALA GIZA HALIKUIWEZA’….”
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com