Pambana usiwe masikini

http://bibleencyclopedia.com/picturesjpeg/Lazarus_at_rich_man's_house_C-922.jpg
Luka 16:19-31

“Njia mojawapo sahihi ya kuwasaidia MASIKINI ni wewe kutokuwa MASIKINI KAMA WAO. Huo ni msaada tosha, Inaepusha COMPETITION YA MAKOMBO chini ya meza ya tajiri. Kwa kutokuwa na akina Lazaro 10 chini ya Meza ya TAJIRI ilimuhakikishia Lazaro upatikanaji wa makombo tofauti na kama wangekuwepo akina Lazaro 10 chini ya meza moja. Kama una huruma na masikini, pambana usiwe masikini, huo ni msaada mkubwa sana unaoweza kuwapa masikini”
Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila
Destined To Reign International Ministries (DETRIM).

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

USIOE KWA SABABU :2

  “Wenzako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 3

  “Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 4

“Ndoa ni taasisi ambayo unaungana na mtu mwingine ambaye ANAWEZA KUKUTIA MOTO kwenye KULIFUATA NA KULITIMIZA KUSUDI LA MUNGU… Wawili sahihi kila mmoja anakuwa CHUMA

Read More »