SHULE YA HUDUMA

LINI: KILA IJUMAA, KUANZIA IJUMAA YA LEO, 05/04/2019.

MUDA: BAADA YA KAZI, SAA 1:30 JIONI HADI SAA 3:00 USIKU!

WAHUSIKA: KILA MTU ALIYEOKOKA, ALIYE DAR ES SALAAM (SI YA WANA ABC TU), NA ANATAKA KUMZALIA MUNGU MATUNDA KATIKA ENEO LAKE LA WITO NA HUDUMA ZILE TANO!

MUWEZESHAJI: Mwalimu na Mchungaji Dickson Cornel Kabigumila, Mchungaji Mwanzilishi, ABC GLOBAL!

WAPI: MWENGE MITUMBANI ILIPOKUWA STAND YA DALADALA KABLA YA KUHAMISHIWA MAKUMBUSHO, UKUMBI WA UKUTA WA MAOMBI!

SOMO: UJUE UKWELI NA USAHIHI KUHUSU HUDUMA YA KUFUNGUA WALIOFUNGWA

(UNDERSTAND THE TRUTH ABOUT THE DELIVERANCE MINISTRY)!

NB: Tukiwa tunaishi kwenye ulimwengu huu, nyakati hizi za siku za mwisho, GIZA LITAFUNIKA WATU NA GIZA KUU LITAFUNIKA KABILA ZA WATU (Isaya 60:1-4), yaani UWEPO NA UTENDAJI KAZI WA UFALME WA GIZA UTAKUWA MKUBWA NA UMESHAANZA KUWA MKUBWA, HADI MAKANISANI KUMESHAINGILIWA, hivyo wanahitajika watu wenye ujuzi wa KWELI YA MUNGU KWENYE ENEO HILI ili si tu wafungue vifungo vya watu binafsi, vya familia na kanisa, bali na JAMII NZIMA NA TAIFA TOKA MIKONO YA UTENDAJI WA GIZA!

KAMA UKO DAR ES SALAAM, HAIRISHA RATIBA NYINGINE TUKUTANE HAPA, NA KAMA UKO MKOANI ILA UNA WATU DAR ES SALAAM, WAAMBIE WAJE TUKUTANE HAPO LEO.

NISAIDIE KUMTUMIA KIBINAFSI MTU ALIYE DAR ES SALAAM ULIYENAYE KWENYE SIMU, WHATSAPP NK, HAKIKA ATAKUSIMULIA KILE AMBACHO ROHO WA MUNGU AMEKIPANDA NDANI YAKE!

WAGONJWA WASIBAKI NYUMBANI, WATAPONYWA KABISA NA SI KUOMBEWA TU, HAURUHUSIWI KUONDOKA NA UGONJWA WOWOTE! VIFUNGO VYA TABIA VITAFUNGULIWA KWA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU (Isaya 10:27, Luka 4:18-19)!

MAWASILIANO UKISHAFIKA MWENGE STAND YA ZAMANI:
0753 466 675
0655 466 675

KARIBU TUJIFUNZE NA KUKUA PAMOJA,
Pst. D.C.Kabigumila.
05/04/2019