MFUNGO WA SIKU 10,MASAA 12 -AUGUST [SIKU YA 10]
“NAMNA YA KUISHI NJE YA UKANDA WA IBILISI (LIVING BEYOND DEVILS REACH)” Utangulizi Ninasikia kuhusu maombi ya vita. Ni maombi maarufu ya kupigana na Ibilisi
“NAMNA YA KUISHI NJE YA UKANDA WA IBILISI (LIVING BEYOND DEVILS REACH)” Utangulizi Ninasikia kuhusu maombi ya vita. Ni maombi maarufu ya kupigana na Ibilisi
KUSUDIA/ DHAMIRIA/ AMUA KUMPENDEZA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO YOTE UWAPO DUNIANI. Utangulizi Katika Biblia kuna watu ambao Mungu anasema WALIUPENDEZA MOYO WAKE! Tuwaone baadhi yao
NGUVU ZA KUKABILI HALI ZA KIFO (POWER TO HANDLE DEADLY SITUATIONS). Utangulizi; Kwenye maisha kuna hali ambazo zimekaa kama kifo, au ukizubaa zinaweza kupelekea kifo
NGUVU YA KUKABILI HABARI MBAYA (THE POWER TO WITHSTAND BAD REPORTS). Maandiko: “Watu waliposikia HABARI HIZO MBAYA wakaomboleza wala hapana mtu aliyevaa vyombo vyake vya
NGUVU ZA MUNGU Zaburi 105:4 “Mtakeni Bwana na NGUVU ZAKE; utafuteni uso wake siku zote” Kwenye andiko hili la msingi tunayaona mambo kadhaa; 1. Kuna
KANUNI YA PILI: KANUNI YA WATU (THE PRINCIPLE OF PEOPLE). Ut Utangulizi Maisha ni watu na watu ni maisha! Ili Mungu ayastawishe maisha ya mtu
KANUNI YA MUDA/WAKATI (THE PRINCIPLE OF TIME). Utangulizi. Maisha ni muda, na muda ni maisha! Hakuna maisha bila muda, maisha ya mtu au kitu yamefungwa
NGUVU YA KUANZA MAMBO MAPYA (THE POWER TO START NEW CHAPTERS). Maandiko: “Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing’aayo ikizidi kung’aa hata mchana
UHUSIANO BINAFSI NA MUNGU Utangulizi Bwana Yesu alisema ya kuwa pasipo Yeye, sisi HATUWEZI JAMBO LOLOTE (Yohana 15:5). Kuzaa kwetu na kuwa na mafanikio kama
KUSUDIA/ DHAMIRIA/ AMUA KUMPENDEZA MUNGU MIEZI SITA IJAYO NA MAISHA YAKO YOTE UWAPO DUNIANI. Utangulizi Katika Biblia kuna watu ambao Mungu anasema WALIUPENDEZA MOYO WAKE!
UISHI NJE YA UKANDA WA IBILISI (LIVING BEYOND DEVILS REACH) Utangulizi Ninasikia kuhusu maombi ya vita. Ni maombi maarufu ya kupigana na Ibilisi na majeshi
ULINZI WA MUNGU KWENYE KILA ENEO LA MAISHA YETU KWA MIEZI SITA HII YA MWISHO NA MAISHA YETU YOTE TUWAPO DUNIANI Utangulizi Mungu anapenda tuwe
MAFANIKIO YA KIUCHUMI KWA MIEZI SITA IJAYO Utangulizi Ni mapenzi ya Mungu TUFANIKIWE KIUCHUMI (3Yohana 1:2)! Mungu anataka kuona KILA TUFANYALO LIKIFANIKIWA (Zaburi 1:3)! Mungu
UPAKO MAALUMU WA KUTUNZA NA KUREKEBISHA MWILI WAKO/ AFYA YAKO (ANOINTING TO KEEP AND REPAIR YOUR PHYSICAL BODY Utangulizi Warumi 8:11 “Lakini, ikiwa ROHO YAKE
( NA ATHARI ZAKE KATIKA MWILI WA KRISTO) Huyu ndiye Adui wa kwanza wa Neno la Mungu “ Mapokeo yana uwezo wa kulizuia Neno la
#TENDO LA NDOA KABLA YA #NDOA Luka 16:10 [10]Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo
MATUMIZI SAHIHI YA RASILIMALI ALIZOTUPA MUNGU ZILIZOTUZUNGUKA/ ZILIZO KWENYE MAZINGIRA YETU Utangulizi Jana tumepata muda wa KUOMBA kwa ajili ya hazina alizowekeza Mungu ndani yetu,
MATUMIZI SAHIHI YA HAZINA ALIZOWEKEZA MUNGU NDANI YETU Utangulizi Mungu alipomuumba mtu, ALIMUUMBA KWA MFANO NA SURA YAKE (Mwanzo 1:26-27). Hii tu ni hazina
KUMZALIA MUNGU MATUNDA KWA MIEZI SITA IJAYO Utangulizi Mungu amemuumba kila mwanadamu ili AWE MTI WAKE UNAOZAA MATUNDA NA KUPITIA UZALISHAJI HUO YEYE MUNGU APATE
UWEPO WA MUNGU UPANDE WETU KATIKA MIEZI SITA IJAYO Utangulizi Hakuna kitu cha thamani kwenye maisha ya mtu hapa duniani kama uwepo wa Mungu!
WA KUOMBA KWA AJILI YA NUSU YA MWISHO YA MWAKA, JULAI 22- JULAI 31, 2019 MCHUNGAJI NA MWALIMU DICKSON CORNEL KABIGUMILA. UHUSIANO BINAFSI NA