Unakubalije kuwa mgonjwa

https://i0.wp.com/maxpixel.freegreatpicture.com/static/photo/1x/Disease-Africa-Sick-Poverty-Young-Face-Sadness-1783794.jpg?resize=844%2C635“Kama unaamini jina lako limeandikwa kwenye kitabu cha uzima, na haujawahi kufika mbinguni na kukagua lipo au halipo, UMEAMINI KWA NENO LA MUNGU, Kwanini usiamini kwenye AFYA YA KIUNGU (kutougua kamwe, kwa sababu uliponywa tangu Kalvari, miaka zaidi ya 2000 iliyopita, 1Petro 2:24, Isaya 35:8-10) Maana hiyo inaweza kupimwa hapa hapa duniani… KAMA NENO LINASEMA TULISHAPONYWA, UNAKUBALIJE KUKAA NA MAGONJWA? HUAMINI YA KUWA YESU ALIKOMESHA UTAWALA WA MAGONJWA KAMA ALIVYOKOMESHA UTAWALA WA DHAMBI? Nikuache UTAFAKARI…”

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram
Mafundisho
yesunibwana

WAZEE WA MKEKA/KUBETI MPOO!!

  USHUHUDA: AFUNGULIWA TOKA TABIA SUGU YA KUCHEZA KAMARI, MAARUFU KAMA KU-BET AU KUTANDIKA MIKEKA! Ngoja nikupe mchongo wa kukutoa jumla kwenye huu MSALA. Huu

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 4

“Ndoa ni taasisi ambayo unaungana na mtu mwingine ambaye ANAWEZA KUKUTIA MOTO kwenye KULIFUATA NA KULITIMIZA KUSUDI LA MUNGU… Wawili sahihi kila mmoja anakuwa CHUMA

Read More »