Unapofanya Shughuli Na Kazi Zako Zote Usisahau Hili:,

Kumbuka Hii
Kumbuka Hii


“Maisha Tuliyopewa Hapa Duniani Ni Mafupi Na Ni Maalumu kwa Ajili Ya Maandalizi Ya Wapi Utaishi Milele… Kila Unachofanya Kwenye Maisha Yako Ya Kila Siku Ndicho Mungu Atakitumia Kuamua Wapi Uishi Milele- Mbinguni Au Jehanamu…. Usipojua Hili, Ni Rahisi Kufanya MAMBO YANAYOISHIA HAPA DUNIANI Kwa Umakini na Ubora Au Kuwafurahisha Watu Ilhali Unaharibu UMILELE WAKO… Yesu Yu Aja, na Ujira Wake Mkononi Mwake, KUMLIPA KILA MTU SAWASAWA NA KAZI YAKE… Heri Yule Anayezitubia Na Kuziacha KAZI ZA UOVU Na Kurejea Kwa BWANA… Kutenda Dhambi (Kuanguka Dhambini) Si Mwisho, Mungu Anayo Nafasi Kwa Ajili Ya MWANA MPOTEVU… Maadamu Unaishi, MUNGU YUKO TAYARI KUKUPOKEA TENA IKIWA UKO TAYARI KURUDI KWAKE… Afichaye Dhambi Zake Hatafanikiwa, Bali Aziungamaye Na Kuziacha ATAPATA REHEMA”
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

NDOA

Haikuanzishwa Na WANADAMU Bali MUNGU Ndiye Aliyeanzisha TAASISI HII… Imeanzishwa Na MUNGU Ambaye Ni Roho, Uwe Na Uhakika Haiwezi Kuendeshwa Kwa Kutegemea AKILI, HEKIMA NA

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 5

“Ni mwanandoa mpumbavu pekee anayesubiri aombwe msamaha ili asamehe; Maana waweza kukuta kile unachoona kama kosa, mwenzako anaweza asikione hivyo, kwa kutosamehe ufa huo unaweza

Read More »