Vitabu/Majalada

fahamu
Fahamu Uweza na Nguvu ya Jina La Yesu

SASA, PATA NAKALA YAKO NA UMSOMESHE MTOTO…Do it, it is your task!Bwana Yesu asifiwe wapendwa.Namshukuru Mungu kwa wingi wa Neema yake, na rehema zake ambazo ni mpya kila iitwapo leo. Leo tar 18/04 nimefanikiwa kupata vile vitabu vya ‘FAHAMU UWEZA NA NGUVU YA JINA LA YESU; JINA MOJA FUNGUO 3 TOFAUTI’ Na ninazo nakala 500 na kila nakala ni sh 3000 kwa wanafunzi na sh 4000 kwa raia wa kawaida kama mimi. Hela yote itakayopatikana (ukiondoa gharama za uchapaji) itatumika kuanzisha mfuko wa ELIMU wa Wanafunzi wa Kikristo walio katika mazingira Magumu na wale walio yatima ulio chini ya ASSOCIATION OF BORN AGAIN CHRISTIANS with IMPACT (ABACT with IMPACT). Ukinunua kitabu hiki utapata UJUMBE ULIOMO lakini pia utakuwa PARTNER wangu na kwa pamoja tutayagusa maisha ya hao watoto na kuujenga ufalme wa Mungu. Japo sikuzuii kuchangia zaidi ya hela ya kitabu, kama una uhuru na hilo…hauninui bidhaa, bali unatoa sadaka na kuueneza ufalme wa Mungu. Kama umeelewa na uko serious na unahitaji nakala tuwasiliane kwa simu na si vinginevyo, TAFADHALI ZINGATIA HILO MPENDWA. Namba yangu ni 0655 466 675 au 0753 466 675.