Wivu si dhambi

..

Wivu Kwa Kitu Ambacho Ni Chako, Si Mbaya Wala Si Dhambi… Naamini Ni Jambo Jema Sana Kwa Mme/ Mke Kuwa Na Wivu Kwa Mwenzi Wake… Ni Sehemu Ya Kuonesha Kujali, Kupenda Na Kuthamini Cha Kwako… Hata Mimi Nikioa Obviously Sitamruhusu Mwanamme Mwingine Azungumze Saana, Mara Kwa Mara Na Mke Wangu… Maana Ni Wangu, Si Wake… Wivu Ni Tabia Ya Kiungu; Hata Baba Yangu Wa Mbinguni Ni “MUNGU MWENYE WIVU” Hajawahi Kukubali Kushare Kile Akipendacho Na Miungu Mingine… Ndio Maana Alikuwa Akiwachunga ISRAEL Wasije Wakaingia Kwenye Mikono Ya Akina Dagoni, Baal-zebub Na Wengineo!
Kibaya Ni Ule Wivu Wa Kipumbavu Walionao Baadhi Ya Wapendanao Hutokanao Mara Nyingi Na Kutojuana Vema, Kutokuaminiana Nk… Huu Si Wivu Wa Kimungu, Huu Ni Wivu Wa Kipuuzi!

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

NDOA

Haikuanzishwa Na WANADAMU Bali MUNGU Ndiye Aliyeanzisha TAASISI HII… Imeanzishwa Na MUNGU Ambaye Ni Roho, Uwe Na Uhakika Haiwezi Kuendeshwa Kwa Kutegemea AKILI, HEKIMA NA

Read More »

NDOA

“Haiunganishi familia mbili bali inazalisha familia mpya ya tatu… Inayojiendesha, kujitawala, kujiamulia na kujichagulia mambo yake… Familia hii mpya ya tatu inakuwa na kusudi na

Read More »

usioe kwa sababu

“Usioe kwa sababu unawaka tamaa, hivyo unaoa ili usiendelee kutenda dhambi nje. Dawa ya tamaa si kuoa. Dawa ya tamaa ni kukubali kuwa tamaa inakutesa,

Read More »