MALAIKA NA MAOMBI

 
KILA UNAPOAMUA KUOMBA MAOMBI YA MUDA MREFU (KUANZIA WALAU NUSU SAA NA KUENDELEA), MALAIKA HUWA WANAKUJA PALE ULIPO/ UNAPOOMBEA!
Khttps://jeremybstrang.files.wordpress.com/2014/11/man-praying.pngila Ukifanya Uamuzi Wa Kuomba, Hauwi Peke Yako, Mungu Hutuma MALAIKA; Haijalishi Unawaona Au Huwaoni, Lakini SHETANI NA JESHI LAKE HUONA; Na Ndiyo Maana Wana Bidii Kukuzuia USIOMBE!
1.Daniel Alipoomba, Tangu Siku Ya Kwanza; Mungu Alimtuma Malaika Japo Alijidhihirisha Siku Ya 21 Ya Maombi, (Daniel 9:20-27).

2.Daniel Alipokuwa Kwenye Tundu La Simba, Alikuwa Akiomba Lakini Pia Mfalme Dario Naye Alifunga Na Kuomba Na Mungu Alimtuma Malaika Aliyekuja Kufunga Makanwa/ Vinywa Vya Simba, (Daniel 6:18-23).
3.Yesu Alipokuwa Nyikani Akiomba, Malaika Walikuwepo Kumhudumia Na Kumtia Moyo. (Marko 1:13, Mathayo 4:11)
4.Yesu Alipokuwa Getsemane Akiomba, Masaa Kadhaa Kabla Ya Kwenda Msalabani Malaika Alikuja Kumtia Moyo (Luka 22:39-43).
5.Petro Alipofungwa Na Kanisa Likamwomba Mungu Kwa Bidii Kwa Ajili Yake, Malaika Alikuja Na Kumtoa Gerezani, (Matendo 12).
KAZI ZA MALAIKA WANAPOKUJA WAKATI TUNAPOKUWA TUNAOMBA:
1.Kutulinda Tusiguswe Wala Kushambuliwa Na Adui Wa Kiroho Na Hata Wa Kimwili
2.Kututia Nguvu/ Kutufariji
3.Kutuletea Majibu Ya Maombi,
4.Ni Watumishi Wanaosubiria Tuwape Kazi Ya Kufanya Vitu Vitokee Kwenye Ulimwengu Wa Roho,
5.Kushikilia Wingu/ Uwepo Wa Mungu Muda Wote Wa Maombi,
KATI YA VIPINDI NINAVYOKUWA NA UHAKIKA NA MALAIKA KUWA UPANDE WANGU NI MUDA WA MAOMBI; HAIJALISHI NI USIKU WA MANANE, HAIJALISHI NIKO PEKE YANGU KIMWILI, HAIJALISHI NIKO MLIMANI PEKE YANGU, HAIJALISHI NIKO MAHALI PA HATARI LAKINI HUWA NAPATA UJASIRI MKUBWA SANA MAANA NAELEWA WATENDA KAZI HODARI WA MBINGUNI WAKO NA MIMI.
Nakuwa Na Uhakika Na Ujasiri Wa Kuwatuma Wakafanye Vitu Vitokee Kwenye Maisha Yangu Au Maisha Ya Wale Ninaowaombea!

NDOA

“Haiunganishi familia mbili bali inazalisha familia mpya ya tatu… Inayojiendesha, kujitawala, kujiamulia na kujichagulia mambo yake… Familia hii mpya ya tatu inakuwa na kusudi na

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

SIFA ZA MME BORA

  1. Yeye mwenyewe AMEMPOKEA YESU, NA KUJITIA CHINI YA MAMLAKA YAKE KAMA BWANA NA MWOKOZI WAKE KIBINAFSI (Yohana 1:12-13, Yohana 3:16-18). -Atambue thamani ya

Read More »

NDOA

Haikuanzishwa Na WANADAMU Bali MUNGU Ndiye Aliyeanzisha TAASISI HII… Imeanzishwa Na MUNGU Ambaye Ni Roho, Uwe Na Uhakika Haiwezi Kuendeshwa Kwa Kutegemea AKILI, HEKIMA NA

Read More »