NDOA


“Haiunganishi familia mbili bali inazalisha familia mpya ya tatu… Inayojiendesha, kujitawala, kujiamulia na kujichagulia mambo yake… Familia hii mpya ya tatu inakuwa na kusudi na maono tofauti kabisa na ya familia mbili walikotokea… Wanapaswa kujua kilichowaunganisha na kukubali kuacha na kusahau kusudi na maono ya familia walizotokea ili kutimiza kusudi na maono yao… Watu wa familia hizi mbili walikotokea wanakuwa ni wageni waalikwa na wanaopaswa kukubali ukweli kuwa hawa wanandoa wapya walikuwa kwao lakini si wao tena… Tukielewa mipaka hii, tutapunguza matatizo ya ndoa kuvunjika kwa sababu ya wazazi na ndugu wa familia mbili tulikotokea… Mwanaume analazimika kuwaacha ndugu na wazazi wake na kuambatana na mkewe… Vivyo hivyo kwa mke (Mwanzo 2:24, Zaburi 45:10-11)

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

KWA WAOAJI TU

“Ukimuona Mwanamke Ambaye AMEKAMILIKA TAYARI [Product] Ujue Kuna Mwanaume Mwingine Ambaye AMEINGIA GHARAMA Kumfanya AHAME TOKA KWENYE MALIGHAFI [Raw Material] Mpaka Kuwa Vile Alivyo… UKIONA

Read More »

usioe kwa sababu

“Usioe kwa sababu unawaka tamaa, hivyo unaoa ili usiendelee kutenda dhambi nje. Dawa ya tamaa si kuoa. Dawa ya tamaa ni kukubali kuwa tamaa inakutesa,

Read More »