“Ukioa au kuolewa, kama umefuata mchakato huu: Ulimshirikisha Mungu akusaidie kumpata mwenzi wa maisha… Ukajiridhisha kwamba huyo ndo AMEKUKAMATA DUNIA NZIMA na ukajiridhisha kuwa kwako ametia nanga…Akakubali kukutambua na kukutambulisha kwa wachungaji (watumishi wa Mungu), Wazazi na ndugu.
Bwana nisaidie niyale maneno yako kwa wingi Yeremia 15:16
Bwana nisaidie niyaweke maneno yako ndani ya moyo wangu!
nampenda YESU kwa kuwa ni BWANA na Mokozi wa maisha yangu namuomba anilinde na mabaya, na kunipa mazuri xana. amina
NENO LA MUNGU NI TAA KATIKA GIZA,UFAHAMU KWA MJINGA,MKONGOJO WA MNYONGE,DIRA YA NAHODHA,RAMANI KWA RUBANI .
NENO LA MUNGU LINA NGUVU
NIMEBARIKIWA SANA, ASANTE KWA SOMO NA NITALIFANYIA KAZI. AMEN