Baraka ya Mungu hutajirisha

Esau na Yakobo

Esau alirithi “mali yote ya Isaka” baada ya Yakobo kumkimbia ili asimuue!
Lakini Yakobo alirithi “baraka yote ya Ibrahim” iliyokuwa juu ya Isaka!
Matokeo: Miaka 14 baadaye, Yakobo alikuwa amefanikiwa na kustawi mno, kutajirika na kuongezeka kuliko Esau!
Baraka ya Mungu inaweza kumpiku tajiri yeyote aliye na mali sasa bila mkono wa Mungu.
Baraka ya Mungu ni mkono na nguvu ya Mungu inayomfanya mtu apate matokeo mara elfu zaidi ya mwanadamu mwenye kila rasilimali bila mkono na nguvu ya Mungu.
“Baraka ya Mungu hutajirisha” (Mithali 10:22)

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

HEKIMA ZA NDOA 5

“Ni mwanandoa mpumbavu pekee anayesubiri aombwe msamaha ili asamehe; Maana waweza kukuta kile unachoona kama kosa, mwenzako anaweza asikione hivyo, kwa kutosamehe ufa huo unaweza

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

SIFA ZA MME BORA

  1. Yeye mwenyewe AMEMPOKEA YESU, NA KUJITIA CHINI YA MAMLAKA YAKE KAMA BWANA NA MWOKOZI WAKE KIBINAFSI (Yohana 1:12-13, Yohana 3:16-18). -Atambue thamani ya

Read More »

usioe kwa sababu

“Usioe kwa sababu unawaka tamaa, hivyo unaoa ili usiendelee kutenda dhambi nje. Dawa ya tamaa si kuoa. Dawa ya tamaa ni kukubali kuwa tamaa inakutesa,

Read More »