Kupokea/kupata unachokiombea

maombi..

Kama Sina Uhakika Wa KUPOKEA/ KUPATA Ninachokiombea, Sipotezi Muda Kuomba!
Kusogea Mbele Za Mungu Kuomba Ni Matokeo Ya Kuwa NA UHAKIKA WA KUPATA UYATARAJIAYO… Na Uhakika Huu Ndio Unaitwa IMANI!
IMANI Si Hisia Ama Kujifariji Kuwa Yote Yanawezekana Bila Kuwa Na Ushahidi Wa Kimaandiko Kutoka Kwenye NENO LA MUNGU Kuwa Hilo Unalotaka Kuombea UTALIPATA UKILIOMBA!
Ni Kweli Kuwa “YEYE ALIYEUMBA MASIKIO HUSIKIA MAOMBI YA WAOMBAO” Lakini Ukweli Mchungu Ni Huu, “HAJIBU KILA OMBI, BALI MAOMBI YA WALE WALIOKUJA KUOMBA KWA KUWA WANA UHAKIKA, NA UHAKIKA WAMEUPATA KWENYE NENO”
Ule Mfumo Wa Kitoto Wa kwenda Kuomba Eti Kisa Unaamini NGUVU YA MAOMBI Bila Kuwa Na Uhakika Uliojengwa Na NENO LA MUNGU Umepitwa Na Wakati!
Mimi Binafsi Siko Tayari Kupoteza Hata Dakika Moja Kwenye Maombi Ilhali Najua SINA UHAKIKA WA KUPOKEA NINACHOOMBA!

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675

HEKIMA ZA NDOA 5

“Ni mwanandoa mpumbavu pekee anayesubiri aombwe msamaha ili asamehe; Maana waweza kukuta kile unachoona kama kosa, mwenzako anaweza asikione hivyo, kwa kutosamehe ufa huo unaweza

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

KWA WAOLEWAJI TU

“Kati Ya Mambo Unayopaswa Kuyachunguza Kuhusu Mtu Anayetarajia Kukuoa NI UAMINIFU NA UADILIFU Kwenye MALI NA PESA YA UMMA, KAMPUNI Au WATU WENGINE… Ukiona Huyu

Read More »

NDOA

Haikuanzishwa Na WANADAMU Bali MUNGU Ndiye Aliyeanzisha TAASISI HII… Imeanzishwa Na MUNGU Ambaye Ni Roho, Uwe Na Uhakika Haiwezi Kuendeshwa Kwa Kutegemea AKILI, HEKIMA NA

Read More »