Bwana Yesu asifiwe, nimeanza kutoa CLIP za SEKUNDE 180 ZA KWELI, ambako ninarudisha misingi ya Injili ya Kweli kwa hizo sekunde 180 tu! Lengo ni kuona WATU WANAIJUA MISINGI YA KWELI YA INJILI ILIYOHARIBIWA NA MATAPELI WACHACHE… Angalia video hii ya kwanza na comment huko huko You Tube kile ulichojifunza… Subscribe ili uwe unapata kila video mara tu iwekwapo… Share kwa wengine wengi UWEZAVYO ili KWELI YA INJILI ISAMBAE…”
Pst. Dickson Cornel Kabigumila,
Assembly Of Believers Church (ABC).