VIDEO STREAM YA IBADA YA UCHUMI

[fbvideo link=”https://web.facebook.com/kabigumilacornel.dick/videos/2301002856602536/” width=”500″ height=”400″ onlyvideo=”1″]

TUTAJIFUNZA KUTOKEA 2WAFALME 4:1-7
BIBLIA INA SIRI NYINGI ZA UCHUMI, USIACHE KUTAZAMA, NI SAA YAKO YA KUJAA SIRI ZA UFALME WA MUNGU!
Pst. D.C.Kabigumila
12/05/2019

HEKIMA ZA NDOA 4

“Ndoa ni taasisi ambayo unaungana na mtu mwingine ambaye ANAWEZA KUKUTIA MOTO kwenye KULIFUATA NA KULITIMIZA KUSUDI LA MUNGU… Wawili sahihi kila mmoja anakuwa CHUMA

Read More »

usioe kwa sababu

“Usioe kwa sababu unawaka tamaa, hivyo unaoa ili usiendelee kutenda dhambi nje. Dawa ya tamaa si kuoa. Dawa ya tamaa ni kukubali kuwa tamaa inakutesa,

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

SIFA ZA MME BORA

  1. Yeye mwenyewe AMEMPOKEA YESU, NA KUJITIA CHINI YA MAMLAKA YAKE KAMA BWANA NA MWOKOZI WAKE KIBINAFSI (Yohana 1:12-13, Yohana 3:16-18). -Atambue thamani ya

Read More »