HEKIMA ZA NDOA 4

https://scontent-arn2-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-9/14457549_1106579872711513_5630216793992043093_n.jpg?oh=f48d82b205450242c908bd88b7ae5e38&oe=58A92C28
“Ndoa ni taasisi ambayo unaungana na mtu mwingine ambaye ANAWEZA KUKUTIA MOTO kwenye KULIFUATA NA KULITIMIZA KUSUDI LA MUNGU… Wawili sahihi kila mmoja anakuwa CHUMA KINACHOMNOA MWENZIE kuliishi na kulitimiza kusudi la Mungu walilopewa!
Kama unaoa au kuolewa, hakikisha unaolewa na kuoa mtu ambaye ANAKUTIA MOTO KUTIMIZA KUSUDI LA MUNGU MAISHANI MWAKO, halafu SUALA LA KUKUTIA JOTO KITANDANI LINAFUATA USIKU baada ya kushinda kutwa nzima PAMOJA MKILITUMIKIA KUSUDI LA MUNGU…”
(Mhubiri 4:9-11).
Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

usioe kwa sababu

“Usioe kwa sababu unawaka tamaa, hivyo unaoa ili usiendelee kutenda dhambi nje. Dawa ya tamaa si kuoa. Dawa ya tamaa ni kukubali kuwa tamaa inakutesa,

Read More »