Aliye nacho ataongezewa

http://reesespiecesofrealestate.com/wp-content/uploads/2014/01/healthy_tree.jpgUko hai wiki hii ili ufanye kitu gani kwa ajili ya Ufalme wa Mungu?
Kumbuka: Kila tawi lisilozaa hukatwa na kutupwa bali kila tawi lizaalo matunda (lenye impact) husafishwa ili lizidi kuzaa zaidi!
Muulize jirani yako, “Utaingiza faida gani kwa Mungu wiki hii? Maisha yako yatabarikije maisha ya wengine mwezi huu?”
Ni muhimu ujue: “Aliye nacho ataongezewa…”

HEKIMA ZA NDOA 3

  “Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko

Read More »

usioe kwa sababu

“Usioe kwa sababu unawaka tamaa, hivyo unaoa ili usiendelee kutenda dhambi nje. Dawa ya tamaa si kuoa. Dawa ya tamaa ni kukubali kuwa tamaa inakutesa,

Read More »

NDOA

Haikuanzishwa Na WANADAMU Bali MUNGU Ndiye Aliyeanzisha TAASISI HII… Imeanzishwa Na MUNGU Ambaye Ni Roho, Uwe Na Uhakika Haiwezi Kuendeshwa Kwa Kutegemea AKILI, HEKIMA NA

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 4

“Ndoa ni taasisi ambayo unaungana na mtu mwingine ambaye ANAWEZA KUKUTIA MOTO kwenye KULIFUATA NA KULITIMIZA KUSUDI LA MUNGU… Wawili sahihi kila mmoja anakuwa CHUMA

Read More »