KANUNI 10 ZA USTAWI KWENYE MAISHA
NA PASTOR DICKSON KABIGUMILA
1. Huwezi kustawi kwenye lolote bila kulianza/ kupanda mbegu/ kuchukua hatua
(Mwanzo 26:12-14)
2. Huwezi kustawi kwenye USICHOKIJUA VIZURI (Mithali 4:7-8)
3. Huwezi kustawi kwenye unachokijua lakini HAUKIFANYI VEMA
(Mwanzo 4:6-7, Isaya 1:17a)
4. Hauwezi kustawi kwenye kile ambacho HAUKIFANYI KWA BIDII
(Mithali 22:29)
5. Hauwezi kustawi kwenye chochote zaidi ya BARAKA YA MUNGU ULIYOBEBA
(Mwanzo 26:12-14, Isaya 51:2)
6. Hauwezi kustawi kwenye lolote zaidi ya UREFU, UPANA NA UKUBWA WA MSINGI ulioweka kabla ya kuanza kufanya jambo (Luka 14:28-30)
7. Huwezi kustawi kwenye lolote zaidi ya WATU ULIOJIZUNGUSHIA KWENYE MAISHA (Mithali 13:20, Zaburi 1:1-3).
8. Huwezi kustawi kwenye lolote zaidi ya PICHA ULIYONAYO/ MAONO
(Mwanzo 13:14-15)
9. Huwezi kustawi kwenye lolote zaidi ya UWEKEZAJI WAKO WA MUDA KWENYE JAMBO HUSIKA/ TO PAY CLOSE ATTENTION AND DEVOTING YOUR MOST PRODUCTIVE TIME SET
(Mithali 27:23)
10. Huwezi kustawi kwenye lolote zaidi ya NIA YAKO YA KUGUSA NA KUBARIKI WENGINE WENGI KUPITIA UNACHOFANYA
(Wafilipi 2:5-11)
Pastor Dickson Cornel Kabigumila
ABC GLOBAL DUNIANI
20/02/2023
KUPATA MASOMO MITANDAONI
WhatsApp: 0655 466 675
Youtube: Pastor Dickson Kabigumila
Facebook: Dickson Cornel Kabigumila (iko verified na blue tick)
Instagram: @pastorkabigumila (iko verified na blue tick)
Tiktok: @kabigumila