Kwanini unamchukia?

Kuchukia

Shetani Anaweza Kukupa Kazi Ya KUSHINDANA NA MTUMISHI WA MUNGU Halafu Ukiulizwa, “KWANINI UNAMCHUKIA??”

Au “KWANINI UNASEMA HUMPENDI??” Au “KWANINI UKO KINYUME NA HUDUMA YAKE??” Unaishia Kusema, “BASI TU NIMEJIKUTA TU SIMPENDI” Au “NIMEJIKUTA TU NACHUKIA ALICHOSEMA AU ALICHOFUNDISHA” Kama Uko Hivyo Ujue Hauna Tofauti Na Wale Wenyeji Wa Mji Wa Efeso Waliojikusanya Uwanjani Na Kuanza Kuimba, “ARTEMI WA WAEFESO NI MKUU” Halafu Walipoulizwa “VIPI MNA UGOMVI GANI NA PAULO??” Wakajibu, “HATA HATUJUI ILA ARTEMI WA WAEFESO NI MKUU” …. Hii Ni “ROHO YA UDINI INAKUTESA” Amua Kuipeleka Msalabani Ife Ili “ROHO YA KRISTO” Inayosimama Upande Wa Kristo Na Walio Wake “IJE NDANI YAKO NA IKUPE UWEZO WA KUSIMAMA NA WALIOBEBA KITU CHA KRISTO NA UFALME WA MBINGUNI”
#JIPIME
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

HEKIMA ZA NDOA 3

  “Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko

Read More »

KWA WAOAJI TU

“Ukimuona Mwanamke Ambaye AMEKAMILIKA TAYARI [Product] Ujue Kuna Mwanaume Mwingine Ambaye AMEINGIA GHARAMA Kumfanya AHAME TOKA KWENYE MALIGHAFI [Raw Material] Mpaka Kuwa Vile Alivyo… UKIONA

Read More »