“Watu hawana haja ya kuambiwa kuhusu YESU wasiyemuona kwako. Watu wanataka WAMUONE YESU anayeongea, anayetembea na kufanya vitu kupitia wewe. Wasipomuona kwako, hawatakusikiliza ukimsoma kwenye maandiko”
(Matendo 1:8).
#Shahidi lazima awe na #Ushahidi
*Wanamtaka YESU ULIYENAYE si unayemsoma kwenye Biblia*
MFUNGO WA SIKU 10,MASAA 12 -APRIL [SIKU YA 10]
KUISHI NJE YA UKANDA WA IBILISI (LIVING BEYOND DEVILS REACH) Ninasikia kuhusu maombi ya vita. Ni maombi maarufu ya kupigana na Ibilisi na majeshi yake.