KWA WAOAJI TU

“Ni Hekima Ya Mungu Kumpa Mwanadamu MALIGHAFI [Raw Materials] Ili Yeye [Mwanadamu] Afanye Sehemu Yake KUZIFANYA KUWA BIDHAA HALISI [Products]… Mungu Anakupa MTI Na Ni Wajibu Wako Kuugeuza UBAO, Kisha Ubao Uwe KITI, KITANDA, KABATI, SANDUKU, JUKWAA Nakadhalika; Lakini Hautapewa VITU HALISI ISIPOKUWA MALIGHAFI…. Mungu Anakupa WAZO [IDEA] Au PICHA YA NDANI [IMAGINATION] Ukichukua HATUA Kuigeuza KITU HALISI Kila Mtu Ataiona Na Kukusifia Kwa BONGE LA WAZO AU KITU ULICHOTOA Lakini Pia UKIKAA TU NA WAZO AU PICHA NDANI YAKO BILA KUFANYA KITU, Basi Utabaki HIVYO HIVYO…. Ndivyo Ilivyo Kwa MKE… Mungu Anakupa RAW MATERIAL [Malighafi] Iitwayo MTOTO WA KIKE Ambaye Amekupa UHURU Kushiriki KUMCHAGUA… Lakini USIPOFANYA SEHEMU YAKO Kumfanya AWE MKE WA NDOTO ZAKO; Atabakia KUWA MALIGHAFI… Kama Mungu Alivyokupa UWEZO Wa Kufanya IDEA Au IMAGINATION Kuwa HALISI [Reality] Pia AMEKUWEKEA NDANI YAKO; Aina Ya Mke Unayemhitaji Kulingana Na KUSUDI NA MAONO ULIYONAYO [Purpose And Vision], Na UNAWEZA KUMSAIDIA KUWA VILE UNATAKA… UNAWEZA KUMFANYA AENDE NJIA UNAYOIENDEA… UNAWEZA KUMSHIRIKISHA KUSUDI NA MAONO ULIYOBEBA… HILI NDO KUSUDI LA KIPINDI CHA MAHUSIANO NA UCHUMBA: Kumshirikisha YALE ULIYOBEBA NA ULIYOKUJA KUFANYA DUNIANI…. Akikuelewa Na Kuambatana Nawe UMEPATA MKE… Asipokuelewa HATA KAMA UNADHANI UNAMPENDA KULIKO UPENDO WENYEWE Achana Naye… NI WAJIBU WAKO KUJUA UNAELEKEA NJIA GANI NA UMEBEBA NINI ILI IWE RAHISI KUMJUA MKE WA MAISHA YAKO NA KUMTOFAUTISHA NA WANAWAKE WENGINE UNAOKUTANA NAO KWENYE SAFARI YA MAISHA…. Nimemaliza”
Hekima Ya Mwalimu,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

HEKIMA ZA NDOA 5

“Ni mwanandoa mpumbavu pekee anayesubiri aombwe msamaha ili asamehe; Maana waweza kukuta kile unachoona kama kosa, mwenzako anaweza asikione hivyo, kwa kutosamehe ufa huo unaweza

Read More »

KWA WAOAJI TU

“Ni Hekima Ya Mungu Kumpa Mwanadamu MALIGHAFI [Raw Materials] Ili Yeye [Mwanadamu] Afanye Sehemu Yake KUZIFANYA KUWA BIDHAA HALISI [Products]… Mungu Anakupa MTI Na Ni

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

SIFA ZA MME BORA

  1. Yeye mwenyewe AMEMPOKEA YESU, NA KUJITIA CHINI YA MAMLAKA YAKE KAMA BWANA NA MWOKOZI WAKE KIBINAFSI (Yohana 1:12-13, Yohana 3:16-18). -Atambue thamani ya

Read More »