NAHITAJI SADAKA YAKO ILI KUPELEKA INJILI KWA WENGINE KUPITIA RADIO

 

Nina vipindi vya Neno la Mungu kupitia Upendo FM 107.7 DSM, na SIBUKA FM RADIO 94.5.
Upendo nina vipindi viwili kila wiki vinavyogharimu Tsh. 400,000 na kwa wiki nne ni Tsh. 1,600,000/=

Kwa upande wa SIBUKA nina kipindi kimoja tu kinachogharimu 150,000- 200,000 kwa wiki nne ni (600,000- 800,000)!

Lakini kila mwezi nafanya MIKESHA miwili Jumapili mbili za kwanza kupitia Sibuka FM ambayo hugharimu Tsh. 500,000 (yaani 250,000 kwa kila mmoja).

Ukijumlisha pamoja:
Upendo FM- 1,600,000
Sibuka FM- vipindi 800,000
MIKESHA Sibuka- 500,000
Jumla kuu – 2,900,000 ambayo nikiweka usafiri wa kwenda studio hizi kwa vipindi vyote haipungui 100,000!
Jumla kuu- 3,000,000/= (Milioni tatu)

HII PESA SINA WAFADHILI, HII PESA SINA WAZUNGU, HII PESA INATOKA KWA YEYOTE ANAYEGUSWA NA KUAMUA KUSIMAMA NAMI KUIPELEKA INJILI HII YA WOKOVU NA MABADILIKO YA ROHO ZA WENGI!

TUNAISHI KWENYE KIZAZI AMBACHO KINAKIRI KUMPENDA YESU NA INJILI YAKE ALIYOILETA KWETU KWA GHARAMA YA UHAI WAKE LAKINI IKIJA SUALA LA KUTOA PESA ZETU INJILI IENDE, HAPO NI MPAKA TUSUKUMWE NA KUBEMBELEZWA MNO!!

NIKUSIHI WEWE UNAYENIAMINI NA KAZI NINAYOFANYA YA KUSAMBAZA KWELI, SIMAMA NAMI KILA MWEZI TUIPELEKE INJILI YA YESU KWA MAELFU, KUWA MKONO WA KWELI YA YESU KUWAFIKIA WENGINE!!

NAAMINI UKO TAYARI KUSIMAMA NAMI KUPELEKA INJILI KILA MWEZI KWA SADAKA YAKO,
NJOO INBOX AU NIPIGIE:
0753 466 675
0655 466 675

NINA GROUP YA WALIOAMUA KUTOA KILA MWEZI KILE WALICHONACHO KWA AJILI YA INJILI, NINAO WAPATAO 20, UNGANA NASI KUFANYA KAZI HII.

PST. DICKSON KABIGUMILA,
KIPINDI: CHAKULA CHA WASHINDI
MCHUNGAJI KIONGOZI,
ASSEMBLY OF BELIEVERS CHURCH (ABC),
27/03/2019

HEKIMA ZA NDOA 4

“Ndoa ni taasisi ambayo unaungana na mtu mwingine ambaye ANAWEZA KUKUTIA MOTO kwenye KULIFUATA NA KULITIMIZA KUSUDI LA MUNGU… Wawili sahihi kila mmoja anakuwa CHUMA

Read More »

USIOE KWA SABABU :2

  “Wenzako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu

Read More »