USIOE KWA SABABU :2

 
“Wenzhttps://i0.wp.com/atlantablackstar.com/wp-content/uploads/2012/08/Young-Couple-Posed.jpg?w=1200ako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu ALARM ya kujua lini aingie huko na inahitaji HEKIMA ITOKAYO JUU kujua ni yupi ambaye atasababisha useme, BINTI ZA WATU WAMEFANYA MEMA LAKINI WEWE UMEWAZIDI WOTE. Sasa wewe oa kwa sababu una wanaoweza kukupa michango ya TUKIO LA SIKU MOJA (harusi), usahau kuwa KUANZIA HAPO MPAKA KIFO KINAWATENGA UTAKUWA PEKE YAKO… Ndoa si upele kila mtu ajikune. KABLA YA KUANZA UJENZI WA MNARA KAA CHINI HESABU GHARAMA KAMA UTAUMALIZA ILI USIJEKWAMA NA KUWAFANYA WATU WAKUDHIHAKI… Kurupuka uone utakavyokukuruka…”

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram
Mafundisho
yesunibwana

SIFA ZA MME BORA

  1. Yeye mwenyewe AMEMPOKEA YESU, NA KUJITIA CHINI YA MAMLAKA YAKE KAMA BWANA NA MWOKOZI WAKE KIBINAFSI (Yohana 1:12-13, Yohana 3:16-18). -Atambue thamani ya

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

SEX BEFORE MARRIAGE

#TENDO LA NDOA KABLA YA #NDOA Luka 16:10 [10]Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo

Read More »