“Aliyefanya kitu akashindwa amefanikiwa sana kuliko mpumbavu ambaye hakufanya kitu na anaonekana smart kwa sababu hana kovu la kushindwa. Kufanya na kushindwa ni njia mojawapo ya kujua njia ipi si sahihi katika kufanya jambo husika. Usiogope kushindwa, OGOPA KUTOFANYA KITU…”
HEKIMA ZA NDOA 3
“Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko