TAZAMA SEMINA YA UCHUMI TOKA CHUO CHA DIT, SIKU YA PILI

Uchumi ni eneo nyeti mno kwa kanisa la siku za mwisho, na tatizo kubwa likiwa ni KUTOJUA NINI TUFANYE ILI TUWE NA UCHUMI MZURI KAMA WANA WA MUNGU. Kupitia semina hii, utapata msingi wa kujenga UCHUMI MZURI kwa kutumia rasilimali ulizonazo na kwa kuanzia ulipo!

[fbvideo link=”https://facebook.com/kabigumilacornel.dick/videos/2272226352813520/” width=”500″ height=”400″ onlyvideo=”1″]

KWA WAOAJI TU

“Ni Hekima Ya Mungu Kumpa Mwanadamu MALIGHAFI [Raw Materials] Ili Yeye [Mwanadamu] Afanye Sehemu Yake KUZIFANYA KUWA BIDHAA HALISI [Products]… Mungu Anakupa MTI Na Ni

Read More »