Uko hai wiki hii ili ufanye kitu gani kwa ajili ya Ufalme wa Mungu?
Kumbuka: Kila tawi lisilozaa hukatwa na kutupwa bali kila tawi lizaalo matunda (lenye impact) husafishwa ili lizidi kuzaa zaidi!
Muulize jirani yako, “Utaingiza faida gani kwa Mungu wiki hii? Maisha yako yatabarikije maisha ya wengine mwezi huu?”
Ni muhimu ujue: “Aliye nacho ataongezewa…”
HEKIMA ZA NDOA 3
“Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko