MFUNGO MAALUM WA SIKU KUMI [SIKU YA 7]- JULAI 2019
MAFANIKIO YA KIUCHUMI KWA MIEZI SITA IJAYO Utangulizi Ni mapenzi ya Mungu TUFANIKIWE KIUCHUMI (3Yohana 1:2)! Mungu anataka kuona KILA TUFANYALO LIKIFANIKIWA (Zaburi 1:3)! Mungu
MAFANIKIO YA KIUCHUMI KWA MIEZI SITA IJAYO Utangulizi Ni mapenzi ya Mungu TUFANIKIWE KIUCHUMI (3Yohana 1:2)! Mungu anataka kuona KILA TUFANYALO LIKIFANIKIWA (Zaburi 1:3)! Mungu
UPAKO MAALUMU WA KUTUNZA NA KUREKEBISHA MWILI WAKO/ AFYA YAKO (ANOINTING TO KEEP AND REPAIR YOUR PHYSICAL BODY Utangulizi Warumi 8:11 “Lakini, ikiwa ROHO YAKE
( NA ATHARI ZAKE KATIKA MWILI WA KRISTO) Huyu ndiye Adui wa kwanza wa Neno la Mungu “ Mapokeo yana uwezo wa kulizuia Neno la
#TENDO LA NDOA KABLA YA #NDOA Luka 16:10 [10]Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo
MATUMIZI SAHIHI YA RASILIMALI ALIZOTUPA MUNGU ZILIZOTUZUNGUKA/ ZILIZO KWENYE MAZINGIRA YETU Utangulizi Jana tumepata muda wa KUOMBA kwa ajili ya hazina alizowekeza Mungu ndani yetu,
MATUMIZI SAHIHI YA HAZINA ALIZOWEKEZA MUNGU NDANI YETU Utangulizi Mungu alipomuumba mtu, ALIMUUMBA KWA MFANO NA SURA YAKE (Mwanzo 1:26-27). Hii tu ni hazina
KUMZALIA MUNGU MATUNDA KWA MIEZI SITA IJAYO Utangulizi Mungu amemuumba kila mwanadamu ili AWE MTI WAKE UNAOZAA MATUNDA NA KUPITIA UZALISHAJI HUO YEYE MUNGU APATE
UWEPO WA MUNGU UPANDE WETU KATIKA MIEZI SITA IJAYO Utangulizi Hakuna kitu cha thamani kwenye maisha ya mtu hapa duniani kama uwepo wa Mungu!
WA KUOMBA KWA AJILI YA NUSU YA MWISHO YA MWAKA, JULAI 22- JULAI 31, 2019 MCHUNGAJI NA MWALIMU DICKSON CORNEL KABIGUMILA. UHUSIANO BINAFSI NA
_Na. Mwl. Nickson Mabena_ *“hata hamkupungukiwa na karama yo yote,* mkikutazamia sana kufunuliwa kwake Bwana wetu Yesu Kristo;” 1 Wakorintho 1:7 •Bwana Yesu Asifiwe,
( Hizi Ndio Lugha Zinazofunga Maisha yako Siku Hata Siku, kila unapoamka ndio mambo kama vile yanaharibika) Zinahamasishwa na shetani mwenyewe ( Na Zinamuhuzunisha Roho
USHUHUDA: AFUNGULIWA TOKA TABIA SUGU YA KUCHEZA KAMARI, MAARUFU KAMA KU-BET AU KUTANDIKA MIKEKA! Ngoja nikupe mchongo wa kukutoa jumla kwenye huu MSALA. Huu
1. Yeye mwenyewe AMEMPOKEA YESU, NA KUJITIA CHINI YA MAMLAKA YAKE KAMA BWANA NA MWOKOZI WAKE KIBINAFSI (Yohana 1:12-13, Yohana 3:16-18). -Atambue thamani ya
NGUVU YA UFUFUO 1. UMEFUFULIWA PAMOJA NA KRISTO YESU; Omba nguvu ya Ufufuo (nguvu ya Roho Mtakatifu) IBADILISHE KUFIKIRI KWAKO ili UYAWAZE YALIYO JUU
UPAKO WA KUWA (ANOINTING TO BECOME). UTANGULIZI Kwenye maisha haya, hatukuja kubahatisha maisha, wala kufanya pata potea! Mungu ametuumba TUWE MAALUM katika maeneo fulani kwa
1. HAKIKISHA UMEOKOKA HARAKA IWEZEKANAVYO KAMA BADO HAUJAOKOKA! NA KAMA UMEOKOKA LAKINI BADO KUNA MAENEO UNAHANGAIKA NA DHAMBI MFANO UZINZI, UASHERATI, KUJICHUA (MASTURBATION), KUTAZAMA
NGUVU YA KUANZA MAMBO MAPYA (THE POWER TO START NEW CHAPTERS). Maandiko: “Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing’aayo ikizidi kung’aa hata mchana
NGUVU ZA MUNGU Zaburi 105:4 “Mtakeni Bwana na NGUVU ZAKE; utafuteni uso wake siku zote” Kwenye andiko hili la msingi tunayaona mambo kadhaa; 1. Kuna
NGUVU ZA KUKABILI HALI ZA KIFO (POWER TO HANDLE DEADLY SITUATIONS). Utangulizi; Kwenye maisha kuna hali ambazo zimekaa kama kifo, au ukizubaa zinaweza kupelekea kifo
NGUVU YA KUCHUKUA HATUA (THE POWER OF TAKING A STEP)! Maandiko: “Wakati HATUA ZANGU zilipokuwa zikioshwa kwa siagi, Nalo jabali lilipomimina mito ya maziwa” (Ayubu
NGUVU YA KUKABILI HABARI MBAYA (THE POWER TO WITHSTAND BAD REPORTS). Maandiko: “Watu waliposikia HABARI HIZO MBAYA wakaomboleza wala hapana mtu aliyevaa vyombo vyake vya