CHANZO CHA IMANI POTOFU
NI MAMBO YA MUHIMU KWETU KAMA KANISA KUYAJUA ILI YATULINDE NA UPEPO WA UPOTEVU ULIOPO KATIKA SIKU HIZI ZA MWISHO! [fbvideo link=”https://facebook.com/kabigumilacornel.dick/videos/2273936129309209/” width=”500″ height=”400″
NI MAMBO YA MUHIMU KWETU KAMA KANISA KUYAJUA ILI YATULINDE NA UPEPO WA UPOTEVU ULIOPO KATIKA SIKU HIZI ZA MWISHO! [fbvideo link=”https://facebook.com/kabigumilacornel.dick/videos/2273936129309209/” width=”500″ height=”400″
KANUNI YA KUPANDA NA KUVUNA (THE PRINCIPLE OF SOWING AND REAPING). Utangulizi Maisha ni shamba au ardhi ambayo inatawaliwa na kanuni ya kupanda na kuvuna.
Malimbuko Ni sadaka ya KIAGANO Ambayo mtoaji anatoa KIPATO CHAKE CHA KWANZA [Faida kwenye bishara, mshahara wa kwanza, mazao ya kwanza (au hela iliyopatikana kutokana
Uchumi ni eneo nyeti mno kwa kanisa la siku za mwisho, na tatizo kubwa likiwa ni KUTOJUA NINI TUFANYE ILI TUWE NA UCHUMI MZURI KAMA
Uchumi ni eneo nyeti mno kwa kanisa la siku za mwisho, na tatizo kubwa likiwa ni KUTOJUA NINI TUFANYE ILI TUWE NA UCHUMI MZURI KAMA
KANUNI YA ULICHONACHO (THE PRINCIPLE OF WHAT YOU HAVE). Utangulizi Maisha ni mchezo wa kanuni, anayezijua na kuzipatia anaishi maisha ya mafanikio yasiyo na
KANUNI YA KAZI (THE PRINCIPLE OF WORK) Utangulizi Maisha tuliyopewa hapa duniani, yana kanuni nyingi mno. Mojawapo ya kanuni hizo ni kanuni ya kazi. Mungu
*”IMANI YA KUPOKEA MAJIBU YA MAOMBI (FAITH TO RECEIVE ANSWERS FROM PRAYERS)” Ukienda kanisani, kwenye mikutano ya injili au semina, na Mtumishi wa Mungu akasema,
Mchungaji & Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila Siku ya kwanza, 22/04/2019 *”UPAKO MAALUMU WA KUTUNZA MWILI WAKO (ANOINTING TO KEEP AND REPAIR YOUR PHYSICAL BODY)” Warumi
“KUSUDI KUBWA LA KUUMBWA KWAKO NA KUJA KWENYE MWILI, NI KUHAKIKISHA HUKOSI MBINGUNI, MENGINE YOTE HAYA MENGINE YA KUACHA ALAMA NYINGINE CHANYA, KUIGEUZA DUNIA,
LINI: KILA IJUMAA, KUANZIA IJUMAA YA LEO, 05/04/2019. MUDA: BAADA YA KAZI, SAA 1:30 JIONI HADI SAA 3:00 USIKU! WAHUSIKA: KILA MTU ALIYEOKOKA, ALIYE DAR
Ni tabia mbaya ambayo inawatesa watu wengi. Kama Mtu alikufanyia jambo jema, na unakumbuka alikutoa hatua moja kwenda hatua nyingine na Ukasahau au ukajisahaulisha, na
MAMBO YANAYOWEZA KUKUFANYA USITEMBEE KATIKA NEEMA (THINGS THAT CAN HINDER YOUR GRACE WALK). Lengo la somo hili ni kukuwezesha na kukufunulia baadhi ya mambo
Ndugu zake na rafiki zake, walitarajia angerudi salama, lakini bahati mbaya alifia ughaibuni!! Walipotaka kuusafirisha mwili wake, hawakuupakia kwenye ndege ya abiria, badala yake ulipakiwa
Bwana Yesu asifiwe, nimeanza kutoa CLIP za SEKUNDE 180 ZA KWELI, ambako ninarudisha misingi ya Injili ya Kweli kwa hizo sekunde 180 tu! Lengo ni
NEEMA YA KUISHINDA DHAMBI NA KUISHI MAISHA MATAKATIFU (THE SPECIAL GRACE TO OVERCOME SIN AND LIVE HOLY LIFE)! Kama tulivyotangulia kuona katika masomo ya mfululizo
NEEMA YA KUTUSAIDIA WAKATI WA MAHITAJI (THE SPECIAL GRACE OF GOD IN TIMES OF NEED). Kwenye dunia hii tunayoishi, mahitaji yapo na yataendelea kuwepo.
NEEMA MBALIMBALI ZA MUNGU (DIFFERENT GRACES OF GOD)! Watu wengi wanadhani kuna neema moja ya Mungu. Yaani neema moja ya Mungu ndiyo inayofanya kazi kwenye
Nina vipindi vya Neno la Mungu kupitia Upendo FM 107.7 DSM, na SIBUKA FM RADIO 94.5. Upendo nina vipindi viwili kila wiki vinavyogharimu Tsh.
NEEMA YA KUTUEPUSHA NA MABAYA YANAYOWAPATA WENGINE (THE GRACE TO BE EXCLUDED IN EVIL THAT BEFALL OTHERS). •Ni kweli kwamba wote tumeumbwa na Mungu mmoja,
NGUVU YA MANENO Maandiko: “Mimi, Bwana, NINAYAUMBA MATUNDA YA MIDOMO (kinachozaliwa mdomoni ni maneno)…” (Isaya 57:19). “Waambieni, Kama niishivyo, asema Bwana, HAKIKA YANGU KAMA NINYI