DUI ASIYEKUJUA HAWEZI KUKUSHINDA
1. Askari maelfu wa Kifilisti hawakuweza kumkamata wala kumdhuru Samsoni, isipokuwa Delila mwenye siri zake
2. Askari mamia wa Kirumi hawakuweza kumkamata Bwana Yesu isipokuwa kwa msaada wa mtu wa karibu, mweka hazina wake Yuda Iskariote
3. Shetani hakuweza kumuondoa Adam Eden miaka na miaka, isipokuwa kwa kupitia sauti ya mtu amwaminiye mno Eva
UJIHADHARI NA MAADUI NA UONGEZE UMAKINI NA MARAFIKI,
NI RAHISI KUMSHINDA ADUI WA MBALI KULIKO KUMSHINDA RAFIKI ALIYEGEUKA ADUI…
Askofu Dickson Kabigumila
ABC GLOBAL DUNIANI
07.03.2024