hivi utakua mwaminifu?

Hivi utakuwa mwaminifu hata kama ukikutana na traffic na unaendesha gari huku umesahau leseni home, traffic anataka sh 2000 tu Rushwa akuachie au utamwambia mwende kituoni utozwe faini sh 50,000 uliyobakiza home budget ya siku 5? Ebu zungumza na mwalimu!

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

HEKIMA ZA NDOA 3

  “Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko

Read More »