Kuzitoa Baraka 003

https://i0.wp.com/www.amharictube.com/uploads/articles/e46c3646.jpg?w=1200“Njia ya tatu ya kufanya ili ULIVYONAVYO NDANI vitoke na vidhihirike NJE KWENYE DUNIA YAKO ni KUITUMIA IMANI KATIKA NENO LA MUNGU. Imani ni HAKIKA YA MAMBO YATARAJIWAYO. Imani haibahatishi, imani ni hakika! Imani ina uwezo wa KUYAZAA YASIYOKUWEPO UNAYOYATARAJIA. Imani huzaliwa kwa kusikiliza juu ya ahadi na kweli za Neno la Mungu zinazokujulisha kuwa MUNGU ANA VITU VIKUBWA VYA KUFANYA KUPITIA MAISHA YAKO (Vikiwemo hivyo unavyoona ndani yako). Pia IMANI INA NGUVU BINAFSI YA KUSUKUMA VITU VITOKEE (Imani huamisha milima, imani hufunga hata makanwa ya simba, imani huzaa miujiza, imani hushinda ulimwengu na kila kizuizi). Ukiwa na imani hata chembe ya haradali UTAZAA BARAKA NA IDEAS ZOTE ULIZOBEBA”
(Ebr. 11:1, Marko 9:23, Marko 11:23-24, Wagalatia 3:14, 1Yohana 5:1-4).

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

USIOE KWA SABABU :2

  “Wenzako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu

Read More »
Mafundisho
yesunibwana

KWA WAOLEWAJI TU

“Kati Ya Mambo Unayopaswa Kuyachunguza Kuhusu Mtu Anayetarajia Kukuoa NI UAMINIFU NA UADILIFU Kwenye MALI NA PESA YA UMMA, KAMPUNI Au WATU WENGINE… Ukiona Huyu

Read More »