“Kwenye Ulimwengu Wa Mwili, Majira (Misimu) Inaamuliwa Na Muda; Lakini Kwenye Ulimwengu Wa Roho, Imani Inaweza Kubadili Msimu Hata Kama Muda Wake Katika Ulimwengu Wa Mwili Bado. Imani Inaweza Kusababisha Mvua Inyeshe Wakati Wa Majira Ya Kiangazi, Bila Kujali Kwamba Muda Wake Halisi Bado”
Muda Ni Wa Muhimu Kwenye Maisha Ya Mwanadamu Ila Imani Ni Ya Muhimu Zaidi Kuliko Muda Maana Imani [Ndani Ya Mungu] Ndiyo Iliyoumba Muda [Mwanzo, Mwisho, Majira Na Nyakati]”
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
Mafundisho
UKITAKA KUJUA ULIPO/ UNAPOABUDU KUNA KWELI YA MUNGU AU NI NJIA PANA IELEKEAYO UPOTEVUNI, ANGALIA YAFUATAYO;
1. Je msisitizo mkubwa mahali hapo ni INJILI YA KUGEUZA ROHO ZA WATU TOKA DHAMBINI AU NI KITUO CHA MIRADI, MIPANGO NA HARAMBEE ZA