Kuwa Mkweli

“Ukiuzika uongo utaoza na utasahaulika milele … Lakini ukiuzika Ukweli, ni sawa na kujaribu kuzika mbegu isiyoharibika. Siku moja utachomoza nje toka ulikouficha na utaharibu kabisa taswira ya aliyejaribu kuuficha… Hatuwezi kufanya chochote dhidi ya kweli labda kwa ajili ya kweli… Kuwa mkweli daima…. Simama upande wa kweli… Heshima na utukufu wako hautakoma japo unaweza pata misukosuko kiasi mwanzoni… Ukweli unaousimamia bila kupepesa macho ndio utakaokuweka huru”

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

USIOE KWA SABABU :2

  “Wenzako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu

Read More »