“Njia ya pili ya kutoa baraka ulizobeba NDANI YAKO kudhihirika NJE KWENYE DUNIA YAKO ni kwa KUSEMA UNACHOONA NDANI YAKO bila kujali mazingira yakoje. MANENO NI NISHATI YA KIROHO isiyoonekana lakini YENYE MATOKEO YASIYOPINGIKA. Mungu AMETUUMBA KWA SURA NA MFANO WAKE, na ametuweka duniani TUFANYE KAMA YEYE; Tufanye vitu vitokee kwa SAUTI YA MANENO YETU! Mungu anasubiri TUONGEE KILE ALICHOWEKA NDANI YETU KWA IMANI halafu Yeye (Mungu) ATAYAUMBA KWENYE UHALISIA”
(Isaya 57:19, Hesabu 14:28, Mithali 18:20-21).
usioe kwa sababu
“Usioe kwa sababu unawaka tamaa, hivyo unaoa ili usiendelee kutenda dhambi nje. Dawa ya tamaa si kuoa. Dawa ya tamaa ni kukubali kuwa tamaa inakutesa,