Kuzitoa baraka 002

https://chosenrebel.files.wordpress.com/2012/02/preaching.jpg“Njia ya pili ya kutoa baraka ulizobeba NDANI YAKO kudhihirika NJE KWENYE DUNIA YAKO ni kwa KUSEMA UNACHOONA NDANI YAKO bila kujali mazingira yakoje. MANENO NI NISHATI YA KIROHO isiyoonekana lakini YENYE MATOKEO YASIYOPINGIKA. Mungu AMETUUMBA KWA SURA NA MFANO WAKE, na ametuweka duniani TUFANYE KAMA YEYE; Tufanye vitu vitokee kwa SAUTI YA MANENO YETU! Mungu anasubiri TUONGEE KILE ALICHOWEKA NDANI YETU KWA IMANI halafu Yeye (Mungu) ATAYAUMBA KWENYE UHALISIA”
(Isaya 57:19, Hesabu 14:28, Mithali 18:20-21).

HEKIMA ZA NDOA 4

“Ndoa ni taasisi ambayo unaungana na mtu mwingine ambaye ANAWEZA KUKUTIA MOTO kwenye KULIFUATA NA KULITIMIZA KUSUDI LA MUNGU… Wawili sahihi kila mmoja anakuwa CHUMA

Read More »

NDOA

“Haiunganishi familia mbili bali inazalisha familia mpya ya tatu… Inayojiendesha, kujitawala, kujiamulia na kujichagulia mambo yake… Familia hii mpya ya tatu inakuwa na kusudi na

Read More »