Mdomo uumba

https://i0.wp.com/secure.static.tumblr.com/b5ac9903a1fc1735a21bb9050fd4844b/fysoqpn/5gMnpworb/tumblr_static_tumblr_static_3q7jyk6v4hgkwok4gk8kcs0gc_640.jpg?w=1200&ssl=1“Tatizo sio giza. Tatizo ni mdomo wako. Acha kukaa kimya. Acha kuzungumza kuhusu giza na madhara yake. Sema kama Mungu; NA IWE NURU. Na itakuwa. Mdomo wako ni chombo maalum cha uumbaji”
(Isaya 57:19).
Mwl D.C.K

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram

usioe kwa sababu

“Usioe kwa sababu unawaka tamaa, hivyo unaoa ili usiendelee kutenda dhambi nje. Dawa ya tamaa si kuoa. Dawa ya tamaa ni kukubali kuwa tamaa inakutesa,

Read More »

NDOA

“Haiunganishi familia mbili bali inazalisha familia mpya ya tatu… Inayojiendesha, kujitawala, kujiamulia na kujichagulia mambo yake… Familia hii mpya ya tatu inakuwa na kusudi na

Read More »

HEKIMA ZA NDOA 5

“Ni mwanandoa mpumbavu pekee anayesubiri aombwe msamaha ili asamehe; Maana waweza kukuta kile unachoona kama kosa, mwenzako anaweza asikione hivyo, kwa kutosamehe ufa huo unaweza

Read More »