Mimi kwanza

Ninaposoma Biblia Yangu, Lengo Langu La Kwanza Si Kupata Somo La Kuja Kukufundisha Wewe, Katu Haitakuja Kuwa Hivyo!
Laengo Langu La Kwanza Kusoma Biblia Ni Ili NIKUTANE NA WAZO JIPYA LA MOYO WA MUNGU… Ni Ili NIKUTANE NA AKILI ZAKE NA HEKIMA ZAKE… Ni Ili NISIKIE SAUTI YAKE… Ni Ili NIPATE MAARIFA NA UFAHAMU WAKE… Kisha Nayaweka Kwenye NAFSI YANGU, NAYATAFAKARI NA KUPATA UFUNUO WA KUBADILISHA MAISHA YANGU NA KUYASTAWISHA… Nikishapata Ufunuo, NATUNZA MOYONI MWANGU, Nauruhusu Huo UFUNUO UWE MFUMO WANGU WA MAISHA WA KILA SIKU; Naanza KUONGEA Kama Huo Ufunuo, Naanza KUWAZA Kama Huo Ufunuo… Naanza Kutenda Huo Ufunuo~
Ukishakuwa Mfumo Wangu Wa Maisha Ndipo Ninakuletea Na Wewe Hapa Ili Ujifunze Na Kupata Faida… Mimi Si Miongoni Mwao “WANAO WAHUBIRIA WENGINE WAO WAKAWA WA KUKATALIWA”
Mimi Kwanza Halafu Nikishapata Na Kuhakiki UHALISI WA KWELI ZA NENO Ndipo Na Mimi Nakuletea UHAKIKA HUO NAWE UPATE FAIDA~
Nakupenda Ndio Lakini Siruhusiwi Kukupenda ZAIDI YA NAFSI YANGU!
Mwl D.C.K

Share on facebook
Share on twitter
Share on linkedin
Share on whatsapp
Share on telegram
Mafundisho
yesunibwana

SIFA ZA MME BORA

  1. Yeye mwenyewe AMEMPOKEA YESU, NA KUJITIA CHINI YA MAMLAKA YAKE KAMA BWANA NA MWOKOZI WAKE KIBINAFSI (Yohana 1:12-13, Yohana 3:16-18). -Atambue thamani ya

Read More »

USIOE KWA SABABU :2

  “Wenzako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu

Read More »

usioe kwa sababu

“Usioe kwa sababu unawaka tamaa, hivyo unaoa ili usiendelee kutenda dhambi nje. Dawa ya tamaa si kuoa. Dawa ya tamaa ni kukubali kuwa tamaa inakutesa,

Read More »