Moyo Wa Aliyeshindwa UMEFUMBA MACHO Na Hauwezi KUONA TENA FURSA HALISI ZISIZOONEKANA KWA MACHO (NJOZI/ MAONO) Maana KOPE ZAKE Zimezibwa Na AKILI YAKE MBOVU Iliyojaa ORODHA YA ANAOWALALAMIKIA KWA KUSHINDWA KWAKE… Bali Moyo Wa Aliyefanikiwa HUONA YASIYOKUWEPO Kwa Maana HANA WA KUMLAUMU KWA KUKWAMA KWAKE ZAIDI YAKE MWENYEWE Hivyo Huwa Vyepesi Kwake KUREKEBISHA MAKOSA YAKE!
“MOYO ULIOCHANGAMKA NI DAWA BORA, BALI HUZUNI UKAUSHA MIFUPA”
“MACHO YA MIOYO YENU YATIWE NURU, MPATE KUJUA…”
Mwl D.C.K
NDOA
Haikuanzishwa Na WANADAMU Bali MUNGU Ndiye Aliyeanzisha TAASISI HII… Imeanzishwa Na MUNGU Ambaye Ni Roho, Uwe Na Uhakika Haiwezi Kuendeshwa Kwa Kutegemea AKILI, HEKIMA NA